ukisema ya kawaida.. kwa watanzania wengi ni haya ya galvanised corrugated iron sheets... mimi ni mzoefu wa bati za kiwanda cha alaf (chapa simba) ambapo roughly bati ya mita 3 gauge 28 ni around 21,000 - 22,000 bei ya reja reja, mita 3 gauge 30 ni around 16,000-17,000, na mita 3 gauge 32 ni around 13,000 - 14,000.
kwa upande wa aluminium sheets inadepend na aina ya profile unayotaka, maxcover, IT 5, IT 4, versatile, roman tile e.t.c lakini bei roughly inaanzia 13,000 - 15,500 per metre. haya yanakatwa kwa urefu wowote unaotaka up to 6 meters na ndo mana bei yake ni kwa mita...
hope tuko pamoja mkuu.