muta ngegi
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 191
- 159
Habari wanajf!
Bila kupoteza muda,naomba kama kuna member anayejua a,b,c...za bei ya mahindi kwa sasa.Mimi nina mahindi nataka kuyauza.Napenda zaidi kama nikipata bei za Dar.
Natanguliza shukrani.