Habari za wakati huu, nahitaji msaada kidogo kwa yeyote ambae anajua application ya movie ambayo unaweza ukapata movie yeyote ama series yeyote ikiwa ina subtitles ndani yake maana ninayo moja inaitwa 'cinema HD- analytics' but subtitles ni kipengele.