THE MAYA EMPIRE
Senior Member
- May 6, 2018
- 106
- 149
Thanks mkuundio hiyo conrol namba mkuu
kwa sasa hivi zinakubali jaribuHabar wanajukwaa
MOJA=Nawaombeni mnisaidie jinsi ya kulipia udom,napewa control number lakin sijui namba ya kumbukumbu ni ipi,naomba msaada hapa
JE NAMBA YA KUMBUKUMBU YA KULIPIA MAOMBI UDOM NI IPI KAMA UMEPEWA CONTROL NUMBER?????
MBILI==OAS ZA VYUO VYA ST JOHNS UNIVERSITY OF TANZANIA,ST AUGUSTINE NA MAKUMIRA HAZIFUNGUKI,JE HILO TATZO LIPO KWANGU TU NA KAMA LIPO KWANGU NAWEZAJE KULUTATUA?
Udia clearanceNaomba msaada nilipeleka barua yangu tcu kucancell jina la chuo nilikua nasoma awali kwasababu za kiuchumi mnamo tarehe9.8.2018,,,Cha ajabu nmeapply chuo kingne nawaambiwa Bado ninacode namba ya chuo Cha mwanzo na nikofanya mawasiliano na tcu hata hawanipi jibu sahihi naomben msaada mwenye kunisaidia niweze pata chuoo.
Nifanyaje???Udia clearance
Hapanakurudia mara ya pili udom kunakulipia tena ?
samahani mkuu, nataka nijaribu kwa mara ya pili lkn nashindwa. naomba nambie jinc ya kufanya.Hapana
Rudia tusamahani mkuu, nataka nijaribu kwa mara ya pili lkn nashindwa. naomba nambie jinc ya kufanya.
mkuu ku-reapply UDOM ukiingia kwenye account yako kipengere cha kuchagua kozi kunaload tu hakuna kozi yeyeto inayokuja kwann mkuu?Unaishi wapi?
hapana natumia PCUnatumia simu ku apply?
Jana nilimasaidia mtu ku apply ilikua inafanya kazihapana natumia PC
NISAIDIE NA MIMI MAANA NAMFANYIA MDOGO WANGU TULIAPPY MWANZO ILA SASA NI SECOND ROUNDJana nilimasaidia mtu ku apply ilikua inafanya kazi