kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,591 Reaction score 1,358 Sep 29, 2013 #1 mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha mlimani udsm kwa bahati mbaya sijabahatika kupata mkopo ninachoomba mtu anisaidie kupata ajira itakayoendana na ratiba yangu ya chuo ili niweze kujikimu kwa Mahitaji mbalimbali ya chuo.
mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha mlimani udsm kwa bahati mbaya sijabahatika kupata mkopo ninachoomba mtu anisaidie kupata ajira itakayoendana na ratiba yangu ya chuo ili niweze kujikimu kwa Mahitaji mbalimbali ya chuo.