Kuna dada anaomba kupata nafasi ya kazi anabachelor ya Accounts IFM,kiukweli huyu dada nimefikia kumuombea sababu ya story yake namie sitoweza kunsaidia kila siku pesa yakujikimu na mwanae.
Mwanaume alimpa mimba akiwa mwaka wa mwisho lakini alijitahidi akamaliza chuo badae mwanaume alimkataa mtoto.
Waungwana tunaomba msaada wakumsaidia ajira ajikimu.
Natumaini mtamsaidia kuweza kuondokana na changamoto zinazomkabili.