Msaada wa Ajira Wakuu

Niambie Tu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2022
Posts
280
Reaction score
727
Habari wakuu.

Naomba mnisaidie kazi

Elimu yangu Diploma Nursing and Midwifery.

Uzoefu wa miaka miwili Hospitali na Mashirika.

Nje na Fani.

Nimefanya biashara na kusimamia biashara za watu.

Kazi niliyokuwa naomba ni ya fani yangu au hata isiyo ya fani kwa sasa ninachangamoto kidogo inayonilazimisha niwe na Kazi hata ya kuniingiza Elfu 10 kwa siku.
 
Tupo pamoja ipo siku tutapata the same fani tusichoke kutafuta na kuomba pia
 
Hebu check mabumbe chap kabla tare.22/12/22 MTI kigoma kuna naafas kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…