Msaada wa aina yake.

Msaada wa aina yake.

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
735d562c86efd2487ed05c76cce37f70.jpg
 
kichwa wa darasa akipewa zawadi yake mbele ya wanafunzi wenzie siku ya kufunga shule
 
Usifanye mchezo mkuu. Hiyo katika stage fulani ya maisha ilikuwa ni zawadi kubwa sana. Usiipime kwa ngazi yako sasa. Usikute hapo anakuwa ni yeye peke yake mwenye nayo. Na kwa hiyo, hicho kinakuwa si kitendo cha aibu (kama tunavyotafsiri sisi) bali ni cha kujivunia kabisa. Tumetoka mbali sana.😀
 
Back
Top Bottom