Msaada wa aina ya simu kwa kazi maalumu

Msaada wa aina ya simu kwa kazi maalumu

Buj

Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Kuna rafiki yangu anamchumba wake hamuamini, alikuwa anahitaji kufuatilia mawasiliano yake. Nasikia kuna sim ambayo akimununulia anaweza kufuatilia mawasiliano yake pasipo muhusika kujua. Ni aina gani ya sm, ni program ipi inatumika, na program hiyo ni ya kudownload au iko ndani ya cm husika?. Msaada kwa wenye uelewa katika hili.
 
nikweli.uwezekano huo upo lakini si vema kuutumia.na pia ni ujinga kumfatilia mtu mzima.na unategemea mkeo asitongozwe?hilo haliwezekani anatakiwa ajichunge yeye si wewe kumchunga utakuja ufe na presha.naunga mkono hoja ya kutopewa msaada kwa hili
 
Kuna rafiki yangu anamchumba wake hamuamini, alikuwa anahitaji kufuatilia mawasiliano yake. Nasikia kuna sim ambayo akimununulia anaweza kufuatilia mawasiliano yake pasipo muhusika kujua. Ni aina gani ya sm, ni program ipi inatumika, na program hiyo ni ya kudownload au iko ndani ya cm husika?. Msaada kwa wenye uelewa katika hili.

Huyo rafiki unayemtaja ndo wewe mwenyewe! Mi kuna program nazifahamu lakini ningeshauri kama unataka niziinstal kwenye simu zenu wote wawili ili mchunguzane sambamba. Maana huyo mchumba wako labda hana uhakika na wewe hivyo anaangalia na sehemu nyingine ili siku ukimmwaga asikose pa kushikilia. Vinginevyo huna aja ya kuendelea na mtu ambaye nyendo zake huzielewielewi.
 
Tabu yote ya nini kama unawasiwasi na mpenzi wako au humwamini muache.
 
Dah!Mkuu unataka tukupeleke mafunzo "in how to kill a human being"?Tusamehe mkuu ni hatari sana.
 
Najua ni wewe, yaani unaitafuta pressure kwa lazima.Ukitaka kuishi kwa amani achana na hayo makitu.Kama humuamini leave her alone.
 
Ampe talaka tu kuliko kumfuatilia.Ndio maana ndoa zinavunjika kila siku kwa sababu ya ufukunyuku.
 
This is not a ----ing jukwaa la mapenzi or something like that
Outcome ya anachotaka kufanya mleta mada is none of ur bussiness
Kama wewe bingwa wa kushauri mapenzi nenda jukwaa husika
Hapa ni kupeana maujuzi tu hujui piga kimya

Mleta mada achana nao hao wajuvi wa mahaba, nenda search ya jf na andika "how to track someone phone" kitu kama hicho utapata sredi moja inaelezea kinagaubaga shida yako
 
Kuna rafiki yangu anamchumba wake hamuamini, alikuwa anahitaji kufuatilia mawasiliano yake. Nasikia kuna sim ambayo akimununulia anaweza kufuatilia mawasiliano yake pasipo muhusika kujua. Ni aina gani ya sm, ni program ipi inatumika, na program hiyo ni ya kudownload au iko ndani ya cm husika?. Msaada kwa wenye uelewa katika hili.

Najua hili sio jukwaa la siasa wala MMU so ntakupa ulichouliza mkuu.
Kuhusu simu nunua smartphone ya kawaida tu kama tecno, Huawei au Samsung ya bei ya kawaida tu kama laki mbili au laki na nusu etc. Kama utaweza ifanyie rooting ili upate uwezo wa kuchunguza mambo mengi km whatsapp, viber etc
Then kuhusu software ingia www.mobitrackapps.com hapo utadownload hiyo application then install kwenye simu ya muhusika(demu), utaingiza email yako na password, then utaificha ili asiione kwa kuweka tiki sehem ya hide
Pia una iondolea uwezo wa kua uninstalled kwa kuweka tiki.
Nadhani fanya hivyo na mengine utasoma kwenye hyo website. Kama utakwama nitafute
NB: hiyo app ni ya bure hadi kufa kwako/ free app
 
Kuna rafiki yangu anamchumba wake hamuamini, alikuwa anahitaji kufuatilia mawasiliano yake. Nasikia kuna sim ambayo akimununulia anaweza kufuatilia mawasiliano yake pasipo muhusika kujua. Ni aina gani ya sm, ni program ipi inatumika, na program hiyo ni ya kudownload au iko ndani ya cm husika?. Msaada kwa wenye uelewa katika hili.

Nunua simu ya Android kisha install Children tracker
kisha fuata maelezo ya hapa ila nakushauri uilipie kwa mwezi walau mmoja maana Free unatumia siku tano tu
[APP][2.1+] Children Tracker Ver 2.9 - XDA Forums
 
Back
Top Bottom