.
toka nokia wazi telekeze symbian ni apps developers wachache ndio waliendelea kutengeneza apps za symbian...
.
hata adobe sidhani hata pdf nadhani hakuna mpya bali ni zile series za 2010/2011
.
lakin inayomkatalia nahis ni iliyokuja na simu... ILA AKI DOWNLOAD HIZ NYINGNE ZITAPIGA KAZ KAMA KAWAIDA
.