Mzalendo Imara
Member
- Feb 17, 2019
- 12
- 6
Habari wana JF?Mim ni mwajiriwa kada ya Elimu nilikuwa mechaguliwa bachelor degree in road and railway transport logistics management(NIT), Shida yangu kubwa ni kupata admission letter ya chuo tofaut ya NIT ambayo ime andikwa kozi ya bachelor degree in chemistry and mathematics ili niweze kupata kibali cha ruhusa kutoka kwa mwajiri(mkurugenz) ya kwenda Masomon Msaada wenu nafanyaj maana bila admission letter yenye course ya kazi yangu hawawezi nipa kibali.Msaada wenu wa mawazo jaman