Wa JF, nimeinstall Arc GIS 9.3 sasa katika harakati ya kuingiza licence (ni ya kuchakachua) naambiwa Failed to change FLEXIm Licence Server. You need to be an administrator to perform this function. Msaada nifanyeje maana nime log in kama administrator, naihitaji sana hii software kwa kazi zangu.