Iamrenatha
Member
- Sep 21, 2016
- 7
- 0
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha iringa university nasoma diploma ya procuremnt and material management mwaka wa kwanza na mwezi wa kumi naingia mwaka wapili lakini nimeshindwa kupata ada ya kumalizia masomo yangu ya diploma nilikua naomba msaada kwa mtu yoyote anayeweza nisaidia baba yangu amefariki dunia na nipo na mama yangu ila kwa sasa nimgonjwa na ameshndwa kunisaidia kwa sasa sababu ya ugonjwa. naomba yoyote anayeweza nisaidia pia kuona matokeo yangu ni msichana wa miaka 21 kwa sasa namba zangu ni 0687497541