Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,384
- 4,355
Mkuu ukubwa wa hizi bands zinareflect speed ya 4G ama? Kwamba 4G ya smart ina nguvu kuliko ya tigo, smile, voda na ttcl? am I correct?tigo na smile ni 800mhz
voda na ttcl ni 1800mhz
-smart ni 2300mhz
Anayetumia Masafa ya chini yaani 800Mhz anafaida moja ya kuwa masafa yake kufika mbali na kuwepo kwenye eneo kubwa yaani "Coverage" ila kasi ya mtandao wake inakuwa si nzuri ya kuridhisha ila mwenye masafa ya juu yaani (1800, 2100 ,2300 ama 2600)Mhz hawa wanakuwa na kasi nzuri ila "Coverage" sio kubwaMkuu ukubwa wa hizi bands zinareflect speed ya 4G ama? Kwamba 4G ya smart ina nguvu kuliko ya tigo, smile, voda na ttcl? I'm I correct?
OkAnayetumia Masafa ya chini yaani 800Mhz anafaida moja ya kuwa masafa yake kufika mbali na kuwepo kwenye eneo kubwa yaani "Coverage" ila kasi ya mtandao wake inakuwa si nzuri ya kuridhisha ila mwenye masafa ya juu yaani (1800, 2100 ,2300 ama 2600)Mhz hawa wanakuwa na kasi nzuri ila "Coverage" sio kubwa
confirmed mkuu nimepata 4g kwa 1800mhz lakini haipigi (haina vo-lte) na data pia sipati, ina setting tofauti za internet? unapata wewe internetKuanzia maeneo ya shule ya uhuru mpaka mitaa ya Samora na posta...bi hivi karibuni wameanza sidhani kama maeneo mengine wameshaanza kurusha kwa masafa hayo
alichosema jamaa hapo juu ni sahihi kuongezea hapo mtandao unaweza uka upgrade 4g yao kupata speed zaidi, mfano sasa hivi kuna lte advance ambayo ni zaidi ya 300mbps tofauti na 150mbps ambayo ipo sasa. mtandao uki upgrade speed inaongezeka hivyo uaishangae ukiona yenye band 1800 ikipitwa na 800Mkuu ukubwa wa hizi bands zinareflect speed ya 4G ama? Kwamba 4G ya smart ina nguvu kuliko ya tigo, smile, voda na ttcl? am I correct?
Tigo ni 800 na 1800tigo na smile ni 800mhz
voda na ttcl ni 1800mhz
-smart ni 2300mhz
LTE 1800 nyingi zipo locked, bado wapo kwenye testing.confirmed mkuu nimepata 4g kwa 1800mhz lakini haipigi (haina vo-lte) na data pia sipati, ina setting tofauti za internet? unapata wewe internet
kuna njia ya kujiunga na hio beta testing?LTE 1800 nyingi zipo locked, bado wapo kwenye testing.
Data napata kama kawaida...ila nafikiri Voice bado wana Operate kwenye 3G...mara nyingi kama wapo kwenye Test huweka zuio kwa muda mpaka watakapo kuwa sawa.Mimi sikubadili setting na sidhani kama kuna mabadiliko yeyote ambayo unatakiwa kufanyaconfirmed mkuu nimepata 4g kwa 1800mhz lakini haipigi (haina vo-lte) na data pia sipati, ina setting tofauti za internet? unapata wewe internet
tigo na smile ni 800mhz
voda na ttcl ni 1800mhz
-smart ni 2300mhz
1800 pia
Mkuu kiongozi naomba msaada unisaidie nimenunua simu ya samsung galax s8 ila hii simu haishiki 3g inashika 2g, 4g unakuta hii simu ikiwa kwenye H+ hauwezi ufungua chochote kikakubali mfano facebook, insta, google n.k hauwezi kufungua inazunguka weeeeee hadi unaacha ila ikifika 4g inafanya kazi vizuri. Chakushangaza nina j7 prime samsung inashika vizuri sana H+ na iko fasta kwa mitandao yote lkn s8 inashika mtandao wa 4g tu. Itakuwa na shida gani au nifanye nntigo na smile ni 800mhz
voda na ttcl ni 1800mhz
-smart ni 2300mhz
Yakwangu inashika 4g inakataa 3g ama 3g haifanyi kazi inafanya 2g na 4g sasa nilipo 4g inapatikana eneo dogo tusidhani kama ni sahihi ni simu ndio hazikubali 4g sio line.
nina mobile wifi ya 4g inakubali fresh line hio hio