Msaada Vyuo vya IT

Msaada Vyuo vya IT

Njema kabisa

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
699
Reaction score
238
Ndug wana jamvi kuna mtu anatafuta chuo cha IT kwa Dar,,anataka asome had Diploma ijapokua amepata zero form 4 je afanyeje au ni vyuo vip anaweza kwenda na kutimiza lengo lake? Ushaur kwake pls,
 
Ndug wana jamvi kuna mtu anatafuta chuo cha IT kwa Dar,,anataka asome had Diploma ijapokua amepata zero form 4 je afanyeje au ni vyuo vip anaweza kwenda na kutimiza lengo lake? Ushaur kwake pls,

Kusafisha hiyo zero, aanzie kwa kusoma kozi za basic computer application ktk vyuo vinavyo tambulika ili apate certificate, baada ya hapo aombe kujiunga na certificate ya IT ktk vyuo vya UCC ambavyo ni vitengo vya UDSM
 
Shukran mkuu, kwa ushauri wako
 
Ndugu tunashukuru kwa ushauri wako bado hujajibu vizur kwa faida ya wengine hicho chuo ucc kipo wapi?
 
Kwa hapa dar, kina branch tatu, chuo kikuu dar, Posta mpya jengo la Benjamin mkapa km nakumbuka vizur km sio, itakuwa jengo linalofuata, na maeneo mbezi barara ya tegeta, sifaham kituo jarob kuulizia, ni vyuo maarufu
 
Nashauri arudie huo mtihani ili ingalau awe tu na cheti bila kujali sana ufaulu.

Hapo ndiyo mwanzo mzuri wa kusonga huko anakotaka kwenda.
Hapa nchini form 4 qualification inaangaliwa kupita maelezo, hana namna arudie tu aondokane na zero.

Hivi mfumo wa sasa una ZERO?
 
arudie mtihan wa form 4 il apate chet kwanza, hakuna chuo knapokea zero
 
sema ww ndo una zero, form 4 chet huna alaf unataka kwenda college il ukmalza uende kuomba kazi na cheti cha shule ya msingi na diploma duuuuuhhh umetisha
 
sema ww ndo una zero, form 4 chet huna alaf unataka kwenda college il ukmalza uende kuomba kazi na cheti cha shule ya msingi na diploma duuuuuhhh umetisha

Ingawa sio mm ila hata ingekua ni mm ni maisha yang yasingekuhus mtu ka ww
 
Back
Top Bottom