Wakuu, wakat nafanya kazi kkwenye simu yangu, kuna mtu ameingiza wrong pin 3 times ikablock, sasa inadai PUK, nawezaje kupata PUK? Kikadi nilishakipoteza! Kuna njia ya kutuma meseji kwenda namba flani lakini mimi nilishasahau, anayefahamu tafadhali tufahamishane!