tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
Jaribu kui unstall then uinstall upya
Inatakiwa tatizo lisoviwe kabisa sio kusov temporary Ndekirhepva
pasua hyo pc..
haina shida mkubwa click hii link Default_LNK_(Shortcut).reg ukisha download hako ka'file right click afu merge then ikimaliza restart your computer enjoy!
pasua hyo pc..
hili co jukwaa la ujingaujinga
ujinga ni mzigo!
hili co jukwaa la ujingaujinga
vlc imekuwa default player yako kwa files zote za music/video kwa pc yako, kwani kuna ubaya gani vlc kuwa default player yako?
vlc ni only powerfull palyer uliyoweka kwa pc yako ndio maana imekuwa hivyo, ukiweka powerfull player nyingine kushinda vlc kama jet audio nayo itameza mafaili yote na kufanya yenyewe kama ndio default player.
pia program wakati ina-run/inaplay kwa mara ya kwanza huwa inakuuliza, if want it to be ur default program/player inaonekana ulikubali, unaweza ukaunstall na kuiweka upya ila safari hii usilkubali iwe default player yako, lakini mimi sioni shida hapo vlc kuwa default player. au kuna tatizo gani haswa jingine au hofu yako ni ipi?
shida ni kuwa umeiweka clc kama default toa isiwe hivyo then utaona
Just very simple mkuu, hapo fanya system restoration then kila kitu kitakuwa pouwa. M huwa ishawai kutokea na nikafanya hvyo na kila kitu poa.