Msaada..... Vishoka wanahitajika

Loy MX

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
1,253
Reaction score
313
kama kuna mtu anajua mahali wapopatikana hawa watu anipe msaada kidogo
 
What is the main coz??

:lol:
JF IS NEVER BORING BhANA!!
 

mzee bili imekuwa kubwa sana now days so nawatafuta sana hawa wataalam wa haya mambo wafanye mpango wa kuninyongea ka mita changu cha luku fanyaa msaada mzee au kama unawajua nipatie hata namba maisha magumu sana mjini
 
Do not fall for this trap and be endangered. 🙂 Mkuu naona njia yako haijafanikiwa, ungeresearch zaidi kidogo tu ungefanikiwa.
 
teh teeh teeeeh......!! vishoka na vinyundo wote wapo hila hiyo stahili yako imewagutusha!!
kwakukusaidia nenda ofisi ya tanesco utawaona deiwaka na matapeli waliozagaa nje,ongea nao watakuunganisha na hao watu
 
mzee bili imekuwa kubwa sana now days so nawatafuta sana hawa wataalam wa haya mambo wafanye mpango wa kuninyongea ka mita changu cha luku fanyaa msaada mzee au kama unawajua nipatie hata namba maisha magumu sana mjini

Ili kupunguza gharama miliki kwanza matumizi yako, sasa hivi jiko la umeme kutumia ni ghali sana , punguza au liondoe kabisa uweke jiko la gesi.
Majiko ya gesi mazuri kwa bei ndogo yako pale uchumi supermarket na milmani city.

Ukiwa tayari kulala zima taa zote na za nje, hakuna kitu kama securoty light nyumbani hiyo ni copy na paste ya usalama viwandani, pia tumia energy saver bulb na tube light.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…