Msaada: Viganja kuwaka moto

Msaada: Viganja kuwaka moto

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2021
Posts
339
Reaction score
683
Wakuu habari za leo, Kuna shida ambayo naiona KWENYE viganja vya mikono yangu, Viganja vya mikono yangu vinakua vinawasha pamoja na kuchoma choma japo kua Nikwa kiwango kigogo.

Kama wengi wetu tulivyo, unapo patwa na mabadiriko mwilini lazima ujikague, mm binafsi nimefanya hivyo nikagundua sehem inayo washa kwa ndani Kuna kua Kama vile mtu aliye ungua Moto, au aliye fanya kazi ya kulima, nikimaanisha nakiona kile ki ngozi cheupe kinacho Tunga maji baada ya kuungua Moto.

Japo kua kinakua kwa ndani Lakini baada ya masaa machache kinatoweka na kuachana kuwasha upande huo na kuamia upande mwingine wa kiganja Hali inakua vile vile Kama mwanzo.

Hivyo basi kwa anaye fahamu tatzo Hili husababishwa na nini pamoja na matibabu yake naomba msaada wako.
 
Wakuu habari za leo,

Kuna shida ambayo naiona kwenye viganja vya mikono yangu, viganja vya mikono yangu vinakua vinawasha pamoja na kuchoma choma japo kua ni kwa kiwango kigogo.

Kama wengi wetu tulivyo, unapo patwa na mabadiriko mwilini lazima ujikague, mimi binafsi nimefanya hivyo nikagundua sehem inayo washa kwa ndani kuna kua Kama vile mtu aliye ungua moto, au aliye fanya kazi ya kulima, nikimaanisha nakiona kile ki ngozi cheupe kinacho tunga maji baada ya kuungua moto.

Japo kua kinakua kwa ndani Lakini baada ya masaa machache kinatoweka na kuachana kuwasha upande huo na kuamia upande mwingine wa kiganja Hali inakua vile vile kama mwanzo.

Hivyo basi kwa anaye fahamu tatizo Hili husababishwa na nini pamoja na matibabu yake naomba msaada wako.
 
Questions

Ngozi ya viganja inababuka au inakua nyeupe kabisa?

Unafanya kazi na any chemicals?

Unatumia cigarettes?

Probably unaweza kua na Palmoplantar Psoarisis or pustulosis Raynaud's disease

You can use
Clobetsaol ointment apply twice in vaseline or Salicylic acid ointment apply twice

Unaweza kumuona Dermatologist kwa help zaidi
 
Questions
Ngozi ya viganja inababuka au inakua nyeupe kabisa?
Unafanya kazi na any chemicals?
Unatumia cigarettes?

Probably unaweza kua na
Palmoplantar Psoarisis or pustulosis
Raynaud's disease

You can use
Clobetsaol ointment apply twice in vaseline or
Salicylic acid ointment apply twice

Unaweza kumuona Dermatologist kwa help zaidi
Ngozi ya Viganja haibabuki, ila inakua na weupe flan sehem inayo washa.

Kazi ninayofanya ni uwakala mda mwingi ni kubonyeza simu.

Sigara sijawahi kuvuta.
 
Ngozi ya Viganja haibabuki, ila inakua na weupe flan sehem inayo washa.
Kazi NINAYO fanya Ni uwakala mda mwingi Ni kubonyeza Simu.
Sigara sijawahi kuvuta.
Possibly ni Raynaud's disease, unaweza kutumia Nifedipine 20m once daily
Topical Nitroglycerin 1% apply once daily
 
Questions

Ngozi ya viganja inababuka au inakua nyeupe kabisa?

Unafanya kazi na any chemicals?

Unatumia cigarettes?

Probably unaweza kua na Palmoplantar Psoarisis or pustulosis Raynaud's disease

You can use
Clobetsaol ointment apply twice in vaseline or Salicylic acid ointment apply twice

Unaweza kumuona Dermatologist kwa help zaidi
Mkuu baadae ngozi ya viganja imeanza kubabuka inajibandua
 
Cheki afya yako ya mwili cheki diabet pia .
 
Nilipima HIV mwaka jana ila juz kati hapa nilipita na dem mmoja iv skua na not dah: ebu ngoja nipime mengine kwanza ila Hilo baadae kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom