Msaada: Vibali vya biashara ya kuuza maji

Geolyne

Member
Oct 6, 2011
13
4
Habari.
Nina ombi, nahitaji msaada wenu. Nataka kuanza biashara ya kuuza maji kwa kuweka tank la maji sehemu na watu kuja kununua kwa ndoo.
Naomba msaada kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na biashara hii jinsi ya kujua ni wapi napata kibali cha biashara ya aina hiyo? Gharama zake je?
Pia ningependa kujua hasara zake.
 
Back
Top Bottom