joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 16,514
- 34,438
Nilikuwa najaribu kuconfigure MPLS network L3 kwa kutumia image ambaye nairun katika GNS3 lakini Kuna baadhi ya command zina kataa, kwa hiyo naomba mnisaidie kama Kuna version ya image nyingine ambaye ina support MPLS, naomba mnisaidie