Msaada vat return software

Msaada vat return software

msd

Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
50
Reaction score
8
Wadau naomba mnisaidie kwa anaye jua kuhusu software ya Vat Return,Napata tatizo wakati wa kuistall hii software kwa baadhi ya Computer lakini sio zote nyingine zinakubali,nafanya procedure zote za installation lakini ukiifungua na ukitaka ku save kazi zato inakuambia ''you must generate a secret key first'' nashindwa kuelewa.Naombeni mnisaidie mnaojua.
 
Back
Top Bottom