kwa namna alivonieleza ilikua ghafla kaamka asubuhi na akuona'morning glory' akona kawaida ila siku zilivozidi kwenda ndo likawa tatizo namna io na hospital ameenda wamempa dawa ila sasa ndo hazijasaidiaTafadhali eleza kwa kina chanzo cha tatizo ili wadau wawezekukupa ushauri makini. Nawasilisha
Mshauri akapime kisukari na pressure .kwa namna alivonieleza ilikua ghafla kaamka asubuhi na akuona'morning glory' akona kawaida ila siku zilivozidi kwenda ndo likawa tatizo namna io na hospital ameenda wamempa dawa ila sasa ndo hazijasaidia
Mimi ningeshauri lakini kiswahili chako unachoandika sikielewi,unandika kama Kisomali mara kama Kikenya.kwa namna alivonieleza ilikua ghafla kaamka asubuhi na akuona'morning glory' akona kawaida ila siku zilivozidi kwenda ndo likawa tatizo namna io na hospital ameenda wamempa dawa ila sasa ndo hazijasaidia
Kwani mkiwa kwenye mechi napo haisimami??kwa namna alivonieleza ilikua ghafla kaamka asubuhi na akuona'morning glory' akona kawaida ila siku zilivozidi kwenda ndo likawa tatizo namna io na hospital ameenda wamempa dawa ila sasa ndo hazijasaidia
nitafute hapa whats appp 0712505049Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku,nimekuja mbele zenu nina tatizo naomba ufafanunuzi na ushauri.
Nina mpenzi wangu amepata tatizo ghafla na sasa ni takribani miezi tisa sasa uume wake umekua hausimami ata asubuhi akiamka tumejaribu kwenda hospital amepewa dawa lakini bado hazimsaidii
Jf doctor tunaombeni ushauri wenu atumie nini au aende hospital gani ili arudi katika hali yake ya kawaida?
Natanguliza shukrani za dhati,
tapeli huyuNitafute kupitia 0744069527..nkupe msaada zaidi
Nicheki watsap 0692422869Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku,nimekuja mbele zenu nina tatizo naomba ufafanunuzi na ushauri.
Nina mpenzi wangu amepata tatizo ghafla na sasa ni takribani miezi tisa sasa uume wake umekua hausimami ata asubuhi akiamka tumejaribu kwenda hospital amepewa dawa lakini bado hazimsaidii
Jf doctor tunaombeni ushauri wenu atumie nini au aende hospital gani ili arudi katika hali yake ya kawaida?
Natanguliza shukrani za dhati,