Kunywa Windhock ulewe ili usahau matatizo yako, pombe ikishakuwa kichwan, mwite akufuate ulipo! kama anakunywa naye mnunulie anywe alewe!Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.
Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.
Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).
Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.
Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).
Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.
Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Wacha kumuingiza Mungu kwenye uzinzi wako kijanaHabarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.
Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.
Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).
Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.
Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).
Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.
Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Mwambie ukweli tu kuwa dada kaamua kumfunga ili asiende kwa wengineUtapona...
Ila simaanishi ni Imani mbaya....lakin nahis huyo dada Kuna jambo
HahahaNiambie tajiriiii
Noma sana.''japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu''
Usilitaje bure jina la Mungu mkuu, yaani Mungu akupe uwezo kwenye uzinzi kweli!? Labda ndiyo maana haisimami tena
Njoo kwangu my 😂Pole dear una umri Gani...
Nije nione,tujaribu?
No jokes.....upone mapema
Oa kwanza ili usaidiwe,sio usaidiwe halafu ukafanye zinaa...Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.
Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.
Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).
Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.
Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).
Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.
Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.
Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.
Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).
Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.
Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).
Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.
Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Kuna dawa inatakiwa upake kwenye chululu yakoAsante mkuu, natokaje?
Usiongee kwa sauti, mizimu haipendiUnayo mkuu?