Kwa vile ww uko busy nipe mm hiyo hela alafu ntakurudishia 30m baada ya miezi 8.....ila kama unajipenda cku iz ukimwachia mtu biashara yako ujue imeliwa hata kama ni mkeo...cha msingi nunua kiwanja kiac he value yake itakua Inapanda kila mwaka...ikiwezekana uje ujenge nyumba za wapangaji ndo biashara pekee ambayo haihitaji uwepo wako