Msaada ushauri; smart phone ya kununua

Ebu kijana sema budget yako na matumizi yako aswaa katika simu. Unaweza ongeza na vitu.kama OS na screen size, hafu utajiwe madude hapa.
 


Mbona unataka kurudia kosa bro John ? Umenunua Nokia Lumia umetumia kwa miezi 6 tu imeharibika button ..! au ulinunua used kwa mtu ? kama ni dukani mbona hilo tatizo linakuwa covered na warranty ? Nunua kwenye maduka ya kuaminika mkuu, sikuizi unapewa mpaka warranty ya miaka 2 , nenda kwa mawakala MIDCOM au kwa ma agents wao akina Foneshack,etc wapo kila sehem Dar,Mwanza, Arusha, Moshi unapewa 2 yrs warranty..
 
Ipo iphone 5


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…