Ushauri wajameni
iPhone kaka!!
Iko juu sana ukiweza iPhone 5 poa ila ukishindwa hata 4S c Mbaya!!!!
Msiwe wavivu mnapokuwa na shida hum kuna nyuzi NYINGI sana zakuhusu ubora wa sim hasa kuna uzi wanye kusifia smart phone inayokaa zaidi mda mrefu na chaji.
mm nimesahau cjui ni aina gani ya sim kwakuwa ww nimvivu ngoja tukutafutie then tukuwekee .
chief-mkwawa
Nilikuwa na Nokia Lumia lakini imeharibika button ya kuzimia/kuwashia iliyoko pembeni kulia ndani ya miezi 6 toka nimenunua.
Nahitaji kunua smart phone durable na yenye longer battery life. Japokuwa smart phone zina matatizo ya kuisha betri haraka lakini naamini ziko zenye unafuu.
Please kwa mnaoelewa mnijuze
Asanteni.
iPhone kaka!!
Iko juu sana ukiweza iPhone 5 poa ila ukishindwa hata 4S c Mbaya!!!!
Lumia 625 tsh 470000Nilikuwa na Nokia Lumia lakini imeharibika button ya kuzimia/kuwashia iliyoko pembeni kulia ndani ya miezi 6 toka nimenunua.
Nahitaji kunua smart phone durable na yenye longer battery life. Japokuwa smart phone zina matatizo ya kuisha betri haraka lakini naamini ziko zenye unafuu.
Please kwa mnaoelewa mnijuze
Asanteni.
Haya kaka Kama nampotosha, mpe wewe sasa aina!!!![/QUOTE]NUNUA Satellite Phone ya uzito 3kg, network hadi Loliondo[QUOT E=LOOOK;9449638]Umampotosha mwenzio iphone miaka hii huku kwenu ni kidudu mtu.
Nikuuzie huawey y300.km ukipenda
iPhone iko juu, utaifananisha na ipi sasa?
Mimi ninayoitumia ni Mwaka wa Tatu sasa sijabadilisha battery wala Kioo.....
NiPM nikupe lumia 610 kwa 150k