ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Najua ndo mana nimeomba ushauri. Tatizo la madalali ujanja mwingiapo hakuna namna mkuu zaid ya kumuonaa dalali ukisema ukomae mwenyew na matikit yalivyokuwa meng kwa sasa utakaa ata wiki mbil mpaka mzgo uishe
yaa ni kwel ila wengne waaminfu cha mcngi kinachotakiwa ucmamiz wa hali ya juu kwa wale watu namm kuna jamaa yangu yupo stereo pale tandka ni mwaminfu ana ujanja ujanja anaweza kukusaidia ili urudishe pesa yako ya kilimo kwa 7bu matikit n meng sokon jombaaNajua ndo mana nimeomba ushauri. Tatizo la madalali ujanja mwingi
Asha [emoji6]
please naomba ni-pm mawasiliano yake nkipata wasaa nifanye mazungumzo nae. ila suala la matikiti kuwa mengi nafikiri sio issue sana sababu yanaliwa sana dar es salaam kikubwa upeleke mzigo wa kueleweka sokoni. wauza matunda wako wengi sana hapa dar kwahio.yaa ni kwel ila wengne waaminfu cha mcngi kinachotakiwa ucmamiz wa hali ya juu kwa wale watu namm kuna jamaa yangu yupo stereo pale tandka ni mwaminfu ana ujanja ujanja anaweza kukusaidia ili urudishe pesa yako ya kilimo kwa 7bu matikit n meng sokon jombaa
Mbona nimekutumia PM imekufikia. Just reply.mbona nikituma msg haij kwako
Tatizo la kuuza shambani unaweza kulaliwa sana mkuu.. unaweza fanya makadirio madogo kumbe mzigo mkubwa
Fanya kilicho bora kwako mkuu.Tatizo la kuuza shambani unaweza kulaliwa sana mkuu.. unaweza fanya makadirio madogo kumbe mzigo mkubwa
Asha [emoji6]
Tatizo la kuuza shambani unaweza kulaliwa sana mkuu.. unaweza fanya makadirio madogo kumbe mzigo mkubwa
Asha [emoji6]
Tatizo la hii approach mteja atakuja chagua mazuri atalipa atasepa. Tena atanunua kwa nguvu ya pochi yako na sidhani kama atanunua mzigo wote.Uza kwa moja moja usiuze kwa ekari hiyo ndio dawa.