Msaada Ushauri - Kuuza Matikiti

Msaada Ushauri - Kuuza Matikiti

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari wakuu,

Natarajia kuvuna matikiti Mungu akinijalia ndani ya wiki tatu baada ya changamoto kadhaa za kilimo hiki. Msimu uliopita nlimkabidhi mzigo mmoja wa madalali wa pale Buguruni sokoni lakini kwakweli alinipiga.

Awamu hii nataka niyamwage pembeni ya barabara niuze mwenyewe kwa usimamizi wa karibu zaidi.

1. Je, njia hii inalipa na ina changamoto zozote??
2. Kuna vibali vyovyote inabidi kuomba ofisi za serikali ya mtaa/Halmshauri kwa ajili ya soko hili temporal ambalo si rasmi??
3. Ushauri gani mwingine wa mauzo ambao mnaweza kunipa au hata kama kuna mtu ana dalali mwaminifu anisaidie mawasiliano??

Natarajia kuvuna kama tani 5 hivi.

Asante
 
apo hakuna namna mkuu zaid ya kumuonaa dalali ukisema ukomae mwenyew na matikit yalivyokuwa meng kwa sasa utakaa ata wiki mbil mpaka mzgo uishe
 
apo hakuna namna mkuu zaid ya kumuonaa dalali ukisema ukomae mwenyew na matikit yalivyokuwa meng kwa sasa utakaa ata wiki mbil mpaka mzgo uishe
Najua ndo mana nimeomba ushauri. Tatizo la madalali ujanja mwingi

Asha
 
Najua ndo mana nimeomba ushauri. Tatizo la madalali ujanja mwingi

Asha
yaa ni kwel ila wengne waaminfu cha mcngi kinachotakiwa ucmamiz wa hali ya juu kwa wale watu namm kuna jamaa yangu yupo stereo pale tandka ni mwaminfu ana ujanja ujanja anaweza kukusaidia ili urudishe pesa yako ya kilimo kwa 7bu matikit n meng sokon jombaa
 
please naomba ni-pm mawasiliano yake nkipata wasaa nifanye mazungumzo nae. ila suala la matikiti kuwa mengi nafikiri sio issue sana sababu yanaliwa sana dar es salaam kikubwa upeleke mzigo wa kueleweka sokoni. wauza matunda wako wengi sana hapa dar kwahio.
 
ningependa pia kupata experience ya watu ambao washawahi kumwaga pembeni ya barabara
 
Uza kwa moja moja usiuze kwa ekari hiyo ndio dawa.
Tatizo la hii approach mteja atakuja chagua mazuri atalipa atasepa. Tena atanunua kwa nguvu ya pochi yako na sidhani kama atanunua mzigo wote.

Asha
 
Back
Top Bottom