Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

yahyasaed

Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
53
Reaction score
58
Salaam nyote wanajukwaa. Poleni na hongereni kwa juhudi zote mzichukuazo dhidi ya janga hatari la corona.
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Mimi muhitimu wa shahada ya sayansi elimu (bsc ed, masomo yakiwa Physics & Biology) kwa sasa ni mtumishi wa umma, idara ya elimu yaani mwalimu, na mwaka moja na miezi 6 sasa tangu niajiriwe.

Sasa nimefikiria kusoma masters ya kozi kadhaa ambazo naomba kwa mwenye ufahamu aniongezee kama ni bora kwa soko la ajira la Tanzania, lengo kuu hasa la kusoma masters ni kuja kua LECTURER (bsc ed gpa ni 3.9) au kupata kazi yenye maslahi zaid kwenye MASHIRIKA MAKUBWA duniani kama Save the children, Norwegian refugee council (NRC) na nakadhalika.

Kozi nilizozifikiria hizi hapa;
1. Masters in Public health chuo ni MUHAS
2. Masters of science in Biochemistry chuo ni MUHAS/UDSM/SUA
3. masters of science in Physics chuo ni. UDSM (japo si mzuri sana kwenye mathematics, hasa advanced mathematics nadhani nitatoboa japo kwa mbinde sana)
4. Masters of science in Zoology/ Botany chuo ni UDSM
5. Masters of science with education in Physics/Zoology/ Botany chuo ni UDSM
6. Masters of science in Microbiology au Biotchenology chuo ni UDSM/ SUA

Naomba ushauri na mawazo kwa wajuzi wa haya mambo japo kuna baadhi ya kozi nadhani nikiende kuzisoma mshahara nitakosa ila sitajali sana.

Kama kuna kozi bora zaid na naweza kuisoma bas naomba pia iongezwe kwa wenye ufahamu.

Ahsante, nasubiri mrejesho wako.
 
Mmmh, huko sina uelewa. Me nilipataha sponsor nikamwambia nipe hiyo ada nikafanyie biashara now mambo sio mabaya kivileee....
 
Binafsi naona masters ya Microbiology na biochemistry zinamuelekeo mzuri hasa kama una ndoto ya kuwa lecturer vyuo vya afya, sayansi asilia na Biology ya juu kwa ujumla. Pia unaweza angalia masters ya anatomy and physiology nayo kama una umahiri kwenye bios na kwenye Bachelor ulipata B au zaidi kwenye hii kozi itakufaa.
(Jipange hizo kozi hazihusiani na ualimu kwahiyo kama ni mtumishi idara ya elimu unauwezekano wa kusitishiwa mshahara afisa utumishi akiona barua yako ya kuomba kusoma inaonesha kozi nje ya taaluma uliyopo. )
 
Ahsante sana mkuu, umenipa mwanga zaidi ila ulivyosema kozi za Biology zina mwelekeo mzuri umezidi kunipa hamasa zaidi.
Shukrani,,,
 
Jaribu kufanya utafiti katika chuo cha Nelson Mandela Arusha,kuna baadhi ya walimu Wa science wamepata ufadhili Wa masomo huko kwa kozi zenu za science
Salaam nyote wanajukwaa. Poleni na hongereni kwa juhudi zote mzichukuazo dhidi ya janga hatari la corona.
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Mimi muhitimu wa shahada ya sayansi elimu (bsc ed, masomo yakiwa Physics & Biology) kwa sasa ni mtumishi wa umma, idara ya elimu yaani mwalimu, na mwaka moja na miezi 6 sasa tangu niajiriwe.

Sasa nimefikiria kusoma masters ya kozi kadhaa ambazo naomba kwa mwenye ufahamu aniongezee kama ni bora kwa soko la ajira la Tanzania, lengo kuu hasa la kusoma masters ni kuja kua LECTURER (bsc ed gpa ni 3.9) au kupata kazi yenye maslahi zaid kwenye MASHIRIKA MAKUBWA duniani kama Save the children, Norwegian refugee council (NRC) na nakadhalika.

Kozi nilizozifikiria hizi hapa;
1. Masters in Public health chuo ni MUHAS
2. Masters of science in Biochemistry chuo ni MUHAS/UDSM/SUA
3. masters of science in Physics chuo ni. UDSM (japo si mzuri sana kwenye mathematics, hasa advanced mathematics nadhani nitatoboa japo kwa mbinde sana)
4. Masters of science in Zoology/ Botany chuo ni UDSM
5. Masters of science with education in Physics/Zoology/ Botany chuo ni UDSM
6. Masters of science in Microbiology au Biotchenology chuo ni UDSM/ SUA

Naomba ushauri na mawazo kwa wajuzi wa haya mambo japo kuna baadhi ya kozi nadhani nikiende kuzisoma mshahara nitakosa ila sitajali sana.

Kama kuna kozi bora zaid na naweza kuisoma bas naomba pia iongezwe kwa wenye ufahamu.

Ahsante, nasubiri mrejesho wako.
 
Jaribu kufanya utafiti katika chuo cha Nelson Mandela Arusha,kuna baadhi ya walimu Wa science wamepata ufadhili Wa masomo huko kwa kozi zenu za science
Ahsante sana mkuu. Ngoja nifanye utafiti nione
 
Soma Masters of Science in Physics utakuja kunishukuru siku moja

Kwa sasa lecturers wa Physics ni adimu sana Ko utakua kwenye nafasi nzuri ya kufundisha vyuo zaidi ya kimoja

Nafasi za Physics zinakua re-advertised

Lakini jipange na mikikimikiki ya CoNAS pale Physics Department Mlimani

Achana na hizo Biology watu ni wengi siku hizi
 
nashukuru sana mkuu. Nitapambana hadi kieleweke
 
Soma Masters of Science in Physics utakuja kunishukuru siku moja

Kwa sasa lecturers wa Physics ni adimu sana Ko utakua kwenye nafasi nzuri ya kufundisha vyuo zaidi ya kimoja

Nafasi za Physics zinakua re-advertised

Lakini jipange na mikikimikiki ya CoNAS pale Physics Department Mlimani

Achana na hizo Biology watu ni wengi siku hizi
Hakuna mahali ambapo watu si wengi ishu Ni hela/fursa
 
Sasa nimefikiria kusoma masters ya kozi kadhaa ambazo naomba kwa mwenye ufahamu aniongezee kama ni bora kwa soko la ajira la Tanzania, lengo kuu hasa la kusoma masters ni kuja kua LECTURER (bsc ed gpa ni 3.9) au kupata kazi yenye maslahi zaid kwenye MASHIRIKA MAKUBWA duniani kama Save the children, Norwegian refugee council (NRC) na nakadhalika.
Hongera sa kwa aspirations zako mkuu. Kama unataka kuwa lecturer siku za mbeleni basi hauna budi kufanya Master of Science with Education.
Ukispecialize kwenye Chemistry sio mbaya sana na hata Biology. Uwanja wao wa kazi bado ni mkubwa kwa sababu hao watu sio wengi sana. Kama unataka pure degree za Chemistry au Biology basi fanya MSc zake lakini ina ramifications ukizingatia wewe tayari ni mwajiriwa wa kada ya ualimu.
Vinginevyo, ninakutakia kila la kheri
 
Back
Top Bottom