...la la la hasha! ha ha ha, mimi nimekupa ushauri tu...si unajua "jina linaumba?"
...jina la Gallus litakuletea kesi nyingi toka kwa mkwe siku za usoni. Kwa kiswahili chetu cha pwani, tafsiri yake ni kijogoo! he he he!
Gaspar Teamo. :thumb:
Gagah Teamo.
Gambushi Teamo.
:A S 39:
noted mkuu~Mi nitakusaidia jina la utotoni la kilugha si unajua kwetu mtoto lazima apewe majina mawili la kanisani la kilabuni.
Hayo ya kizungu angali lisije kuwa jina gumu mpaka akina bibi wakashindwa kutaja.
hehehe!Kifupi chake inakua Roy.....na baade atakua st. roy....perfect....
Teamo copy this...
Roy jina rahis kutamka bana....Gilroy...fupisha ita Roy....jina safi linatamkika hata na kibogoyo..
Gijsbert
Glyn
Gilmore
Gilroy
Giovanni
Glen
Grayer
Grenier
Grosvenor
Garth
Haha Teamo twambie umependa jina lipi kati ya hayo Gwamaka or !
Mwite Govinda.
Gasper? Hivi Mtakatifu Gasper alikuwa na sifa gani?
Wapi St. Roya?...njoo okoa jahazi hapa....
Mtakatifu Gaspar is a saint...:bowl:
Hapo inabidi babu na bibi wawe na meno yote mdomoni ndo watatamka vizurijamani Smiles.....sasa mnataka wengine tuyatamkaje hayo majin ajamani, mnataka kutupa kwikwi za uzeeni? cjajua kutamka hata limoja, sasa babu wa moshi hapo ndio kaisha kabisa.
huyu baba mtarajiwa ina maana hajapata jina tu mpaka sasa?
jamani Smiles.....sasa mnataka wengine tuyatamkaje hayo majin ajamani, mnataka kutupa kwikwi za uzeeni? cjajua kutamka hata limoja, sasa babu wa moshi hapo ndio kaisha kabisa.