Msaada: USB(Hardlock) key ya software haifanyi kazi

Msaada: USB(Hardlock) key ya software haifanyi kazi

Mbalizi feedstuff

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
188
Reaction score
200
Habari ya jioni wakuu.
Kuna software ya kutengeneza formula za vyakula vya mifugo niliinunua Thailand $475,hii software ili uitumie ni lazima uingize hardlock key kwenye USB port ya computer,bila hardlock key huwezi kuifungua hii software na kuitumia sasa hivi hii hardlock key haiwi recognise kwenye computer hivyo siwezi tena kuitumia.Kama kuna mtaalamu yeyote anaweza kuwa anajua suluhu ya hili tatizo anijulishe nifanyeje.

usb hardlock key yenyewe ni hiyo ya blue na chini yake ndio software yenyewe
20250428_171601.jpg

20250428_172613.jpg
 
Mbalizi feedstuff
Unatumia windows gani?
May be drivers za kutambua hardlock zimemiss (hazipo) au ni outdated

Hayo yakifeli kuna njia za kitaalamu za comand prompt unatakiwa uwe mtaalam wa computer kufuata hizo hatua
 
Nimeitumia kwa muda tu kwenye Windows 7 awali ilikuwa inafanya kazi vizuri tu,nimeijaribu kwenye pc 3 tofauti lakini wapi
 
Mbalizi feedstuff
Unatumia windows gani?
May be drivers za kutambua hardlock zimemiss (hazipo) au ni outdated

Hayo yakifeli kuna njia za kitaalamu za comand prompt unatakiwa uwe mtaalam wa computer kufuata hizo hatua
Nielekeze hizo njia za command prompty naijue kutumia dos window
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom