Msaada: USB debugging

da irritant boy

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
402
436
Habari yenu wanajukwaa,

Kwa anaefahamu namna ya ku enable USB debugging kwenye devices bila kupitia kwenye settings ku enable developer options.

Nitashukuru kwa msaada wowote
 
habar yenu wanajukwaa,
kwa anae fahamu namna ya ku enable usb debugging kwenye mtk devices bila kupitia kwenye settings ku enable developer options

nitashukuru kwa msaada wowote
kwann unataka kuenable bila kupitia settings?, cmu iko screen locked au?.. Na baada ya kuenable debug unataka kufanya nn kwenye hyo cmu?.. taja pia brand na model ya cmu yako
 
system collapsed sina access kuingia ndani, nahitaji ku enable ili niweze kutumia sp flash tool, simu ni tekno l5
 
sp flash tool haihitaji usb debug.. unaflash cmu ikiwa powered off kwahyo usb debug haina haja

the problem is nikichomeka ikiwa off inaload na kuchomoka hapo hapo, na preload drivers niliweka kwa usahihi kabisa, some one said nahitaji kuenable debugging, ntashukuru kama utanisaidia
 
aliyekwambia unahitaji debug hilo halina ukwel, hapo unaponambia INALOAD NA KUCHOMOKA cjaelewa kidogo... by the way, unahitaji FIRMWARE YA HYO CMU YAKO, MTK USB DRIVERS NA SP FLASH TOOL... unavyo vyote hvyo?
 
ninavyo vyoote hivo , yani ni kwamba nikiichomeka simu kwenye pc inasoma then inapotea inaanza kuchaj tuu
 
kitendo cha cmu kuchaji inaweza kusababishwa na drivers kuwa missed or not properly installed on ur pc au hata hyo usb slot ya cmu yako kuwa mbovu au hata usb data unayotumia pia kuwa mbovu.. hakikisha vyote hvyo hasa kwenye drivers na pia jaribu kuchomeka cmu yako while pressing vol down.. Ulishawahi kutumia hyo sp flash tool kwa cmu yoyote kabla?
 
yap nilishawahi kuitumia before more than once, nashukuru sana kwa msaada wako baadae ntajaribisha tena, i wll let you know the feedback
 
Simu nyingi za Android unaweza kuwezesha Debug mode kwa kuingia kwenye sehemu ya Settings > kisha bofya About Phone > kisha bofya Software Information au (Software Info) > kisha bofya Build number mara kumi, baada ya hapo rudi kwenye Setting utaona menu mpya inayoitwa Developer options kisha nenda mpaka mahali kwenye option iliyoandikwa USB debugging bofya hapo kuweka on.
 
Back
Top Bottom