Msaada usafirishaji wa bajaji

Kiparaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
384
Reaction score
114
Habari ya kazi wadau,
Naomba mwenye ufahamu wa wakala wa usafirishaji anayeweza kunisafirishia bajaji kutoka Dar kuipeleka Kahama, anisaidie mawasiliano yake.
Natanguliza shukurani.
 
bajaji ngapi na unatoa sh ngapi..???
 
Habari ya kazi wadau,
Naomba mwenye ufahamu wa wakala wa usafirishaji anayeweza kunisafirishia bajaji kutoka Dar kuipeleka Kahama, anisaidie mawasiliano yake.
Natanguliza shukurani.

Nenda kariakoo wasafirishaji wako kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…