Msaada Usafiri Mwanza to Nairobi

Msaada Usafiri Mwanza to Nairobi

Kabare12

Senior Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
106
Reaction score
105
Salamu zenu members!
Naomba kujulishwa usafiri ulivyo kutoka Mwanza kwenda Nairobi..
1:Ni basi gani ni reliable na bei imekaaje..
2:Mpakani wanauliziaga Yellow fever vaccination certificate?
Nashukuru kwa msaada..
 
Kuna MORDEN COAST ya Kenya ofisi zake ziko Buzuruga bus stop . Ipo kila siku na inaondoka Saa 8 mchana. Inazo seat za bei ndogo na za bei kubwa. Ikitoka mwanza haisimami popote mpaka mpakani.

Vyote ulivyoviuliza vinaulizwa mpakani. Vinginevyo uende na gari za nusu nusu . Mwanza/Sirari then Isibania/Nairobi mabasi ni mengi kotekote ingawa za Kenya nyingi zinatembea usiku kucha na za Tz ni mchana. So ni chaguo lako. Lakini ya moja kwa moja ni hiyo MORDEN COAST ya Kenya
 
Modern Coast inaondoka Buzuruga sa8 mchana inaingia Nairobi sa12 asubuhi nauli ni 35k kwenda

Darlux walisem wanaanzisha ruti ya mwanza nairobi sijui kama wameshaanza au vipi
 
Modern Coast inaondoka Buzuruga sa8 mchana inaingia Nairobi sa12 asubuhi nauli ni 35k kwenda

Darlux walisem wanaanzisha ruti ya mwanza nairobi sijui kama wameshaanza au vipi
Dar lux walianza na higer new model baadaye wakaiacha hiyo route
 
Salamu zenu members!
Naomba kujulishwa usafiri ulivyo kutoka Mwanza kwenda Nairobi..
1:Ni basi gani ni reliable na bei imekaaje..
2:Mpakani wanauliziaga Yellow fever vaccination certificate?
Nashukuru kwa msaada..

Huwezi kuingia kama una Pasi ya TZ
 
Back
Top Bottom