Msaada Updating iPhone 4s

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
9,889
Reaction score
2,808
Wadau, nimejaribu ku update iOS 7 version 7.0.4 kwa kupitia itunes (desktop) ila kila wakati inasema contacting the iPhone software update server. Internet connection iko safi haina shida. Sijajua tatizo lipo wapi.
Kama kuna mtu alishawahi ku update kwa kutumia itunes naomba msaada tafadhali.
Ahsanteni wadau
 
kwanza kabisa hakikisha iTunes yako ya computer ni latest version otherwise itakupa error's wakati wa kuRestore. Then usiUpdate directly kupitia iTunes, maranyingi huwa inakata njiani. fanya hivi itakuwa rahisi, Download hiyo firmware seperately hapa ( http://appldnld.apple.com/iOS7/031-1833.20131114.P3wE4/iPhone4,1_7.0.4_11B554a_Restore.ipsw ) alafu chomeka simu kwenye computer then click and hold 'shift' button kwenye keyboard then restore kwa iTunes.
 

Kabla sijaendelea hiyo latest version ya itunes ni ipi?
 
Version ya itunes niliyonayo ni 11.1.3.8
 

Usi update iPhone 4S yako kwa kutumia iTunes kwenye desktop au laptop.

Tumia Over The Air (OTA) software update kwa kutumia simu yako hiyo hiyo. Hakikisha simu yako in betri charge ya kutosha na kuna bundle ya kutosha ya internet.

Sasa, fanya yafuatayo:

Kwenye simu yako bonyeza Settings, halafu bonyesha General, halafu bonyeza Software update
........

Tuwasiliane kama ukifanikiwa au usipofanikiwa ku update.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…