R Realme JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 214 Reaction score 155 May 20, 2013 #1 Nahitaji korosho kwa wingi kwa bei ya jumla. Nitapata wapi kwa hapa Dar es salaam? Huwa naziona madukani na kwa machinga lakini sifahamu wanazijumua wapi. Naomba msaada wa taarifa kwa anayefahamu.
Nahitaji korosho kwa wingi kwa bei ya jumla. Nitapata wapi kwa hapa Dar es salaam? Huwa naziona madukani na kwa machinga lakini sifahamu wanazijumua wapi. Naomba msaada wa taarifa kwa anayefahamu.
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 May 21, 2013 #2 toa offer unayoweza kununua i mean price per kilo pamoja na idadi unayoweza nunua. . .PM for further details.
toa offer unayoweza kununua i mean price per kilo pamoja na idadi unayoweza nunua. . .PM for further details.