S Sundiata Member Aug 9, 2014 65 26 Feb 29, 2016 #1 Nitawezaje Ku unlock huawei y625 kutoka tigo slot 1 ambayo ndio inasoma 3g.
F frank4i Member Nov 4, 2015 88 25 Feb 29, 2016 #2 kuunlock hyo cm unahtaj kuwa na sigma box ambayo imeactivatiwa pack 1 au kama uelewa na hilo peleka kwa wale wanaoflash simu
kuunlock hyo cm unahtaj kuwa na sigma box ambayo imeactivatiwa pack 1 au kama uelewa na hilo peleka kwa wale wanaoflash simu