Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,455
- 6,465
Wakuu naomba kujua jinsi ya kumwita jini live na kuongea nae kwa njia za short cut na akaja🙏🏽.
Twasubilia mkuu
Izo akili ndo ulizo soma nazo shule ama zingine🤷🏽♂️😂😂Piga nyeto kwa kutumia pilipili kichaa na jini atakuja live.
Kwani hawapo?Karne ya 21 unawaza majini
hii mlikuwa kijiweni bila shaka ndo ukawatishia ili muheshimu tamaduni za watu.Unajiita Magical power halafu hujui kuwaita majini ...
Kuna jamaa fulani aliwahi niambia unachukua "Quran" unaenda kuikanyaga chooni miguu yote miwili , Hapo unaliita jini Makata unalituma kwenda kumdhuru yeyote..
NB: Kua makini mana jamaa alisema ukiingiza hofu tu unapasuka matumbo au unachanganyikiwa milele...
Mkuu kua magical so ndo nimemaliza Kila kitu naitaji elim mpya ambayo Sina Nina ujuzu wa kuita nilicho andika but nachukua mawazo mapya niendelee na ujuzi wanguUnajiita Magical power halafu hujui kuwaita majini ...
Kuna jamaa fulani aliwahi niambia unachukua "Quran" unaenda kuikanyaga chooni miguu yote miwili , Hapo unaliita jini Makata unalituma kwenda kumdhuru yeyote..
NB: Kua makini mana jamaa alisema ukiingiza hofu tu unapasuka matumbo au unachanganyikiwa milele...
Kwa upande wangu mi naona ni FAIRLY TALES tu ..
😂Piga nyeto kwa kutumia pilipili kichaa na jini atakuja live.
Jamaa ni Sheikh mkubwa tuuhii mlikuwa kijiweni bila shaka ndo ukawatishia ili muheshimu tamaduni za watu.
Chukua hyo halafu nimesahau , inatakiwa uwe usiku mtulivu .Mkuu kua magical so ndo nimemaliza Kila kitu naitaji elim mpya ambayo Sina Nina ujuzu wa kuita nilicho andika but nachukua mawazo mapya niendelee na ujuzi wangu
OK japo si nzur kwa upande wa dinChukua hyo halafu nimesahau , inatakiwa uwe usiku mtulivu .