Msaada: Unaifunguaje iPhone inayohitaji Activation Lock?

labda sijakupa cv yangu mimi ni official GSX na nilistop kwa upuuzi wa wajinga.

Iphone zinatoka labda ujijidanganye tu kuamini azitoki.

mwambie atafute wataalamu huko hakujuwae
Wataalam wapi? Toa angalau clue basi. Ameshatafuta akakosa. Wewe kama unajua sehemu nitonye hata kwa PM.
 
mbona tunacheza nazo nyingi tu kuna file 3tools uunali open kwenye pc inatakiwa uwe online unaichomeka ina seach ios unaidownload ukimaliza ndoo kwesha
Unaweza kwenda in details? Hata kwa PM nitashukuru. file na tools za aina gani na zinapatikanaje?
 
Mkuu acha janja janja.
Una maana gani ya kusema janja janja? Kuwa simu imepatikana isivyo halali? Never! Mimi hata uniletee ile Iphone 13 Pro Max mpya, ya wizi kwa shilingi laki mbili siwezi kununua. Kwenye maisha yangu nilishajiwekea kanuni kuwa katu siwezi kununua kitu cha wizi unless niwe sijui kabisa kama ni cha wizi.
 
Mkuu itafute iyo 3utools ni unyama
Nimeipata mkuu. Nimefanya research ya haraka. Sidhani kama inaweza kutatua tatizo langu. Tatizo langu ni kuondoa activation lock ya ID na siyo ku flush simu. Nimesha flush ila imekwama kwenye setup. Nimekwama hapa:
1649084630910.png
 
Wana JF naomba mwenye kujua.

Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock?

Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana.

Amejaribu kui-reset ikiwa kwenye recovery mode akafanikiwa, lakini wakati wa setup ikakwama kwenye activation lock.

Amekwama hapa:
View attachment 2174433
Nimepitia pitia post za wadau lakin sijaona kitu bhas naweza kukusaidia maana inawezekana kwa 99% kwanza nahitaji kujua ni iphone ngapi na umeipandisha hadi ios ya ngapi asant NB ikiwa ios 15.. Kuendelea ni high price
 
Ni 6 S, na nimei-up date mpaka ios 15 point something..... the latest! NB: Kama ni kui-jail break hata mimi huo ujuzi na software ninayo, (japo mpaka sasa inafanya kazi mpaka ios 14 tu, hivyo itabidi niangalia namna ya ku-downgrade kutoka ios 15 to 14) na nikii-jail break itafunguka na kuwa kama Iphone ya kawaida kabisa na hata apple ID naweza ku-creat lakini kunakuwa na shida moja... ''call'' function haiwezi kufanya kazi + cellullar na pia tatizo la kawaida la kutopata updates.
 
Usiwe na wasiwasi kabisa. Mimi siyo ''mwepesi'' hata kidogo.
Mkuu kwa mujibu wa level za majibu yako kwenye uzi wako huu nashawishika pasi na mashaka kuwa HUWEZI kusahau nywila yako au kusahau hadi details za kurecover nywila yako

Nawaza tu kwa sauti......usije ukajikuta na “mada kesi” bure
 
Ungekuwa umesoma post yangu ya mwanzo usingekuwa na hii shaka. Jaribu kusoma.
 
Ni 6 S, na nimei-up date mpaka ios 15 point something..... the latest! NB: Kama ni kui-jail break hata mimi huo ujuzi na software ninayo, (japo mpaka sasa inafanya kazi mpaka ios 14 tu, hivyo itabidi niangalia namna ya ku-downgrade kutoka ios 15 to 14) na nikii-jail break itafunguka na kuwa kama Iphone ya kawaida kabisa na hata apple ID naweza ku-creat lakini kunakuwa na shida moja... ''call'' function haiwezi kufanya kazi + cellullar na pia tatizo la kawaida la kutopata updates.
Cjaomba uzoefu wako wa kutumia software kama unaweza ama huwezi IREMOVE na kampuni mbal mabl zinatoa kwa jair na vitu vyote vinafanya kaz mnapouliz maswali mkihitaji kujua muache ujuaji
 
Cjaomba uzoefu wako wa kutumia software kama unaweza ama huwezi IREMOVE na kampuni mbal mabl zinatoa kwa jair na vitu vyote vinafanya kaz mnapouliz maswali mkihitaji kujua muache ujuaji
Kuandika kiswahili hujui, utawezaje kuelewa nilichoandika sembuse mambo ya software? Infeority complex inakusumbua kiasi cha kuona maelezo ya kawaida kabisa niliyondika eti ni ''uzoefu wa kutumia software''.
 
Back
Top Bottom