Habari zenu wakuu...
Nina tatizo moja katika simu yangu ni android,ni double line na kwa kawaida line 1 uwa ndo inasapoti 3G then line 2 inasapoti 2G only.
Tatzo ni kua pale pa kuekea line kwenye line 1 vile vichuma vitatu vimekatika kwa bahati mbaya,kwahyo hapa natumia line 2 ambayo ni 2G.
Kwa wataalum nilikua nauliza kuna namna nyingine ya kuweza kufanya hii line 2 nayo isapoti 3G,au kutengeneza ivyo vichuma inawezekana?
Nakaribisha msaada wenu.Asanteni.