Msaada unahitajika

Msaada unahitajika

peter mlokota

Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
19
Reaction score
0
natumai wazima ndugu zangu
naomba kusaidiwa kutatua ili tatzo kwenye hii PC yangu ukiiwasha inaunguruma tu na screen inakuwa haidisply chochote zaidi ya mwanga tu.aina ya PC ni ASUS
 
Hiyo Screen inakuwa ya rangi gani? hakuna maandishi yoyote yanatokea?
 
Back
Top Bottom