PC yangu aina ya DELL ukitia windows inasumbua na hats ikiingia window kioo hua cheusi na kuandika" Window is not genuine" nini tatizo na vipi nalisolve

Ndo hivyo hiyo Windows hauna haki ya kuitumia kwa vile haijalipiwa license.
Aidha ununua Windows au uibe kwa kutafuta keys za kufojia au kutumia software za kufoji licensing/registration.