PastorA JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 361 Reaction score 275 Nov 15, 2016 #1 Habari za asubuhi watu wore. Ninaomba msaada nawezaje kudelete page yangu ktk Facebook?... Naomba msaada
Habari za asubuhi watu wore. Ninaomba msaada nawezaje kudelete page yangu ktk Facebook?... Naomba msaada
Francis Mawere JF-Expert Member Joined Nov 17, 2015 Posts 969 Reaction score 844 Nov 15, 2016 #2 PastorA said: Habari za asubuhi watu wore. Ninaomba msaada nawezaje kudelete page yangu ktk Facebook?... Naomba msaada Click to expand... Kazi ndogo tuu Bro! Ingia Facebook then ingia kwenye page yako, Click "setting" shuka mpaka chini Utaona mahali pameandikwa Remove/Delete your page hapo umemaliza Kazi.
PastorA said: Habari za asubuhi watu wore. Ninaomba msaada nawezaje kudelete page yangu ktk Facebook?... Naomba msaada Click to expand... Kazi ndogo tuu Bro! Ingia Facebook then ingia kwenye page yako, Click "setting" shuka mpaka chini Utaona mahali pameandikwa Remove/Delete your page hapo umemaliza Kazi.