incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
mshana jr unaitwa hukuHabari zenu wakuu.
Nikimbie moja kwa moja kwa Tatizo langu, Kama nilivyotanguliza kwenye kichwa cha habari kuwa niahitaji msaada wa kiimani nadhani nitaeleweka vizuri na wale ambao tunatofautiana imani ili kuepusha lugha za fedhuli, Dharau, maudhi na Matusi,
Naomba kuuliza kwa wale tunaoamini kuwa uchawi na uganga vipo na vinatumiwa na wanajamii
Wakuu swali langu lipo hivi kuna madhara gani ninaweza kukutana nayo iwapo nikitengenezwa na mtaalamu kuwa na uwezo wa kuwaona wachawi wakija kuniwangia hasa mida ya usiku?
Au kuwa na uwezo wa kuwagundua mara tu nikikutana nao??
Naombeni majibu kwa wanaoamini uwepo wa vitu hivyo kama huamini tafadhari pita kushoto
Mkuu ivi ni kweli??watakuua ndugu yangu..
acha hyo kitu
mkuu mi nikajua ndio njia ya kuwafanya waniogope duu [emoji15] [emoji15] [emoji15]kabisa yan.....mana wakigundua kuwa unawaona......hautopata hata mda wa kuja kutupa mrejesho hapa......
weeeee wanakuchukua ukawe unawalimia limia kidgo tumashamba twao twa hapa na palemkuu mi nikajua ndio njia ya kuwafanya waniogope duu [emoji15] [emoji15] [emoji15]
mkuu japo sihitaji kujoke kwenye huu uzi wangu..weeeee wanakuchukua ukawe unawalimia limia kidgo tumashamba twao twa hapa na pale
hahahahahahahaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]mkuu japo sihitaji kujoke kwenye huu uzi wangu..
Ila wakinichukua kwa kazi ya shmba itakula kwao maana mi na jembe naskiaga historia tu ko watakuwa wamekula loss ya kumchukua unproductive person[emoji23] [emoji23]
mkuu viko wapviwanda hivyo
ndio huyo huyo, beira baby boyWewe ndo yule sijui baby boy from london?
mkuu tupeane heshima kwa panapobidi sina maana ya kuwa namdharau huyo mtu unaenifananisha nae ila najaribu kuuliza tu friendly kwenye hii post na ufananisho mkuu ustafte chuki ziszokuwa na msingiWewe ndo yule sijui baby boy from london?
mkuu tuheshimiane basindio huyo huyo, beira baby boy
mkuu umejitahid kujibu swal langu ila sidhani kama umejibu kisawasawa maana nimeuliza swal la kutafta hela ingekuwa vzur ila hapa umejibu opposite.....Tafura dawa ys kuona mazuri mfano fursa za pesa ,biashara nzuri nk achana na ujinga wa kutafuta dawa za kuona wachawi haikusaidii kitu kukukwamua kwenye umaskini
unafanana nae.mkuu tupeane heshima kwa panapobidi sina maana ya kuwa namdharau huyo mtu unaenifananisha nae ila najaribu kuuliza tu friendly kwenye hii post na ufananisho mkuu ustafte chuki ziszokuwa na msingi