Msaada unahitajika tafadhali...

Msaada unahitajika tafadhali...

dah, nimekumbuka safari yangu ya masomo.
pambana bibie,time heals everything.
 
Kwakweli siwezi kuchepuka najua mme wangu alikonitoa. Ata kama yy akichepuka it's non of my business solong as he loves me nasijawahi mhisi.
Kwa jibu hilo huyo mwanaume kapata mke haswa,hongera na hongera kwake.

Kwa shauri za kujichua na kutumia sex toys ni sahihi lakini kuwa makini,maana nijuavyo hizo njia hasa zikitumiwa kupita kiasi hubadilisha ur sex preferences na hata msimamo wako unaweza badilika maana zinahusisha imagination sana, so ikawa rahisi wewe kufanya kile unachoimagine katika hayo matendo.
 
Back
Top Bottom