M Maswi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 932 Reaction score 211 Sep 18, 2012 #1 wanaJF naomba kujua gharama za kodi zifwatazo baada ya kulipa kodi za TRA zitokanazo na CIF, gharama zenyewe ni hizi hapa. Clearing forwarding agent Car registration license Shipping line charge Port Charge Insurance na mengineyo ambayo niloyasahau
wanaJF naomba kujua gharama za kodi zifwatazo baada ya kulipa kodi za TRA zitokanazo na CIF, gharama zenyewe ni hizi hapa. Clearing forwarding agent Car registration license Shipping line charge Port Charge Insurance na mengineyo ambayo niloyasahau
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,413 Sep 18, 2012 #2 why usiende business and economic forum nafkiri watajua zaidi kuliko sisi
B bizzare Member Joined Aug 25, 2012 Posts 62 Reaction score 13 Sep 18, 2012 #3 sio vibaya chief na we ukajimix huku kama unajua i do admire your contrbution in IT
M Maswi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 932 Reaction score 211 Sep 20, 2012 Thread starter #4 bado sijapata jibu wakuu.