Msaada unahitajika, nina mzigo kutoka Senegal naupataje?

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
288
128
Habari za majukumu,

Nina mzigo kutoka Senegal naupateje yani nawezaje kufikisha bongo
mzigo ni laptop, pad, simu na video camera nisaidie.
 
isije ikawa umetapeliwa na wale matapeli kutoka senegal wanaojifanya masista wa kanisa......wanaowatumiaga watu email zao kupitia katika mitandao ya kijamii
 
Alafu mnamchanganya kweli kweli chinga hapa asee, yeye kashaamini kabisa analetewa mzigo sasa mkimwambia hivi anawaona nuksi kweli kweli!

Mmakonde mwenzangu kaa chonjo, kama deal ilianzia kwenye mtandao hamna dili hapo unaenda kuliwa tu kama bado!

Kama una uhakika nicheki pm nitakusaidia utaupata kaka
 
Kweli navurungwa
Nisaidie kwanza NDUGU ila sijaombwa bank account wala pesa ila nieombwa s,l,p tu na NAMBA yasimu labda..
 
Back
Top Bottom