Hebu jaribu kumpiga hata taraka moja alfu uone kama alikuwa anabeep au lahAisee jamani naomba mnisaidie ...mie na mke wangu na mtoto wetu mmoja na huyu mke wangu tunapendana na kuahidiana mapenzi ya dhati cha ajabu.. Tunaweza tukawa tupo kwenye furaha mfulilizo...mpaka watu mtaani wanatumaind the way tunavyopendana... Sasa ikitokea tu kukorofishana kidogo wife ye hudai taraka.. Na siku nyengine hua anachukua cm yangu kwa siri halafu huanza kuchati na watu ambao anahisi yeye mie wapenzi wangu yaani akiona SMS hata imeandikwa""sawa wangu""..mitusi atakayopata huyo MTU si yanchi hii
Baya zaidi hua ananichunia sana akinuna atakaa hata siku 3 bila ya mawasiliano mazuri...hivi juzi kakuta nimetumiwa x kwenye group...na Mimi nikaifoward kwa MTU mwengine weeee....hadi wazazi wangu waliju kua naagalia x.. Sasa hii tabia nahisi ka inanichosha...mpaka naandika Uzi huu tayari ashadivert simu yangu...
Nahitaji jinsi ya kuiondoa hiyo divertion pia nahitaji nini cha kufanya ili amani itawale???
Yaan jaby hizo ndio ishu zake...hivyo hivyo...halafu anachojivunia kua home kwa wazazi wangu wanamkubali aisee...Bimkubwa akisikia tu nimekorofishana nae hua haniulizi ananilaumu tuu....sasa nahisi nimpe likizo ndogo kwanzacall divert kaitoe ipo kwenye call settings, aisee hiyo kesi nishakutana nayo demu alikua hivo hivo 200% usiku nimelala anaingia whatsapp kuchungulia text, akipiga mtu hadi ajue ni nani, mi nilikua sina tabia ya kukagua simu yake na kila akikagua akikuta traces zozote mwisho wake ni kupendekeza break up,
in short huyo manzi keshapata mtu pembeni sasa anatafuta uchochoro wa kukutoroka trust me. mpe likizo kama wiki mbili hivi bila mawasiliano yeyote ukweli utajulikana tu