Msaada uloleta uadui

Msaada uloleta uadui

gentleman92

Member
Joined
Apr 26, 2019
Posts
17
Reaction score
13
siku moja nlikuwa natoka handeni kwenda dar , nikapanda ksk bus ambayo ni luxury kama hiyo yako , wakati imeanza safari , kituo kinachofuata alikuja dada mmoja , mzurii na kajaaliwa nyamaa nyama zilee vijana tunapenda kuitaa msambwandaa ,

aliingia akanisalimiaa kishaa akakaaa kweny siti

tofauti na yeye hakuwa na nyodo na ilikuwa ni mchangamfuu sana

haikukaa mdaa story zilianzaa tukafahamiana

tukawa tunaambiana mishe za biashara maana alikuwa mfanya biashara

nilipomuuliza anaenda dar sehemu gan akanambia anaenda dar mbez kwa kaka akee kwa bahati mbaya simu yakee ilizima chajii

na kwa bahat mbaya zaidi gari ilipopita ilipitia njia ya bagamoyoo

hivyo akaomba simu yangu awasiliane na kaka akee kuwa kapitishwa njia ya bagamoyo ilii ajee kumchukua ubungo mana hata nauli ya kwenda mbezi hana

kwa bahati mbaya tulipokaribia kufika ubungo kaka akee akawa hapatikan hivyoo akaanza kuliaa ataendajee mbezi na nauli hanaa

nilichofanya mimi sikumwambia chochotee zaidi ya kumuuuliza kwa nini unatembea bila helaa ili hali ww ni mtoto wa kikee

, nikamtania nitamsindikiza mpk mbezi kwa miguu ili mradi kumfariji tyuuu

tulipofika ubungo yeye ndo akawa wa kwanza nikashangaa amesimama chini ananisubiria

niliposhuka nkamuuliza sa utafanyajee , akasema mi sijui , nikamtania twende kwangu basi akaitika sawaa tyuuu

moyon nkasita kidogoo nkamwambia twendee wakat twatembeaa siunajua vijana wa mjin wanavyofagilia msambwanda

mbinjaaa na kelelee zilitawalaaaa kutokana na maumbile ya yule dada

wakat tunaondoka nkaenda moja kwa moja kweny magari yaendayo morogoro nikamfata kondo mmoja nkamwambia huyu dada anaenda mbez kwa bahat mbaya gari alopanda halijapitia mbezi limepitia bagamoyo naomba umsaidie umfikishe mbez

yulee konda akakataaa

nikaenda gari lingine nikamuelezea yulee kondaa akakubalii

ila kimoyo moyo nkasema huyuu dada kama kafanya hivyo ili kutapeli nimpe hela imekula kwakee simpi helaa

nikamlipiaa nauli nkamwambia haya safarii njema

wakat anaondoka akanambia kaka naomba namba zako kama nkifika salama nitakujulisha

nikamwandikia kweny karatasi akaondoka zakee

huvyo basi nikaa miezii na mpk nkasahau

siku moja nkapata missd cal

nkauliza ww nani akanijibu mm mamu yule tulikutana wote kwenye garii

basi chatng zilianzaa tukazoeana

bt finally alianza kunishukuruu sana kaka ahsantee sana kwa msaada wako sijawahi kuona kaka mweny busara kama wewe

sikutegemeaa msaada ulionipaaa

na wala hukudhamiria ni mbaya na mm

nkamjibu usijali binadamu ninkusaidiana maana hujui nani atakusaidiaa maisha ya badaee

basi tukaendelea kuchat, siku mojaa wakat tunachat alinambiaa yan unajuaa ilee siku kaka angu wala sio kuwa sikua na nauliii nlikuwa nayoo sana tuu

ila nlitaka nikuonee utanisaidiajee

maana nyie wavulana mna tamaa sana , mwngn angetaka ukalale nae kwanza ila ww ulinisaidia kwenda nyumbani

kusema kwel me nilikupenda toka siku ilee kaka,

snaomba tafuta siku tuonaneee basi ilienda hivyoo kwa mdaa mrefu, ilifikia sehemu hadi anataka kunitumia nauli nimfatee kwaoo handeni , siku mojaa nkamwambia niko handeni ila sina pa kulala akanambia chukua gest nakuja kulipaaa

nlikaaa katafakarii sana hata kama ni upendo kuonana huko mtu aje nilalee nae, nliwazaa sanaaa nikawaza na maisha yaa dar

mwisho wa siku nkamwambia nlilala kwa rafiki angu wa kiumee

alilalamikaa sanaa mpk kuchukiaa

hatukutafutana tenaaaaaaaaaa

na ukawa mwisho wa urafiki na mawasilianoo baina yetuu
 
Jitahidi kufanya repression mkuu, lamaana ulimsaidia, mungu atakuongezea zaidi.
 
Bhasi hakuwa na msambwandaa kama anao Sura yake hairidhishi kabisaa... Kiufupi hatamanikiiii... Mamaee msambwanda uache kizembe hivyooo mara mbili zoteee
 
hahaha kaka it depend ni type gan ya mwanamkee ninaemkubalii sijawahiii fagiliaa msambwandaa hata mara mojaa binafsii napenda mwanamke potable easy to carry , mwembamba wastan
kashep flan hiv amaizing
kifua kidogo wastan
hapo nashawishika kwa kweli

bt si msambwandaa
 
Bhasi ndo maana binti wa watu akaona unamzingua tuu... Mpaka atakee kulipia gest ukazinguaa duuh
 
hahaha kaka it depend ni type gan ya mwanamkee ninaemkubalii sijawahiii fagiliaa msambwandaa hata mara mojaa binafsii napenda mwanamke potable easy to carry , mwembamba wastan
kashep flan hiv amaizing
kifua kidogo wastan
hapo nashawishika kwa kweli

bt si msambwandaa
Huyo dada atakuwa mtoa tigo... Umepewa tigo kwa lazima. Una bahati mkuu
 
Uko darasa la ngapi dogo? Waalimu wana kazi. Uandishi hovyo.
 
siku moja nlikuwa natoka handeni kwenda dar , nikapanda ksk bus ambayo ni luxury kama hiyo yako , wakati imeanza safari , kituo kinachofuata alikuja dada mmoja , mzurii na kajaaliwa nyamaa nyama zilee vijana tunapenda kuitaa msambwandaa ,

aliingia akanisalimiaa kishaa akakaaa kweny siti

tofauti na yeye hakuwa na nyodo na ilikuwa ni mchangamfuu sana

haikukaa mdaa story zilianzaa tukafahamiana

tukawa tunaambiana mishe za biashara maana alikuwa mfanya biashara

nilipomuuliza anaenda dar sehemu gan akanambia anaenda dar mbez kwa kaka akee kwa bahati mbaya simu yakee ilizima chajii

na kwa bahat mbaya zaidi gari ilipopita ilipitia njia ya bagamoyoo

hivyo akaomba simu yangu awasiliane na kaka akee kuwa kapitishwa njia ya bagamoyo ilii ajee kumchukua ubungo mana hata nauli ya kwenda mbezi hana

kwa bahati mbaya tulipokaribia kufika ubungo kaka akee akawa hapatikan hivyoo akaanza kuliaa ataendajee mbezi na nauli hanaa

nilichofanya mimi sikumwambia chochotee zaidi ya kumuuuliza kwa nini unatembea bila helaa ili hali ww ni mtoto wa kikee

, nikamtania nitamsindikiza mpk mbezi kwa miguu ili mradi kumfariji tyuuu

tulipofika ubungo yeye ndo akawa wa kwanza nikashangaa amesimama chini ananisubiria

niliposhuka nkamuuliza sa utafanyajee , akasema mi sijui , nikamtania twende kwangu basi akaitika sawaa tyuuu

moyon nkasita kidogoo nkamwambia twendee wakat twatembeaa siunajua vijana wa mjin wanavyofagilia msambwanda

mbinjaaa na kelelee zilitawalaaaa kutokana na maumbile ya yule dada

wakat tunaondoka nkaenda moja kwa moja kweny magari yaendayo morogoro nikamfata kondo mmoja nkamwambia huyu dada anaenda mbez kwa bahat mbaya gari alopanda halijapitia mbezi limepitia bagamoyo naomba umsaidie umfikishe mbez

yulee konda akakataaa

nikaenda gari lingine nikamuelezea yulee kondaa akakubalii

ila kimoyo moyo nkasema huyuu dada kama kafanya hivyo ili kutapeli nimpe hela imekula kwakee simpi helaa

nikamlipiaa nauli nkamwambia haya safarii njema

wakat anaondoka akanambia kaka naomba namba zako kama nkifika salama nitakujulisha

nikamwandikia kweny karatasi akaondoka zakee

huvyo basi nikaa miezii na mpk nkasahau

siku moja nkapata missd cal

nkauliza ww nani akanijibu mm mamu yule tulikutana wote kwenye garii

basi chatng zilianzaa tukazoeana

bt finally alianza kunishukuruu sana kaka ahsantee sana kwa msaada wako sijawahi kuona kaka mweny busara kama wewe

sikutegemeaa msaada ulionipaaa

na wala hukudhamiria ni mbaya na mm

nkamjibu usijali binadamu ninkusaidiana maana hujui nani atakusaidiaa maisha ya badaee

basi tukaendelea kuchat, siku mojaa wakat tunachat alinambiaa yan unajuaa ilee siku kaka angu wala sio kuwa sikua na nauliii nlikuwa nayoo sana tuu

ila nlitaka nikuonee utanisaidiajee

maana nyie wavulana mna tamaa sana , mwngn angetaka ukalale nae kwanza ila ww ulinisaidia kwenda nyumbani

kusema kwel me nilikupenda toka siku ilee kaka,

snaomba tafuta siku tuonaneee basi ilienda hivyoo kwa mdaa mrefu, ilifikia sehemu hadi anataka kunitumia nauli nimfatee kwaoo handeni , siku mojaa nkamwambia niko handeni ila sina pa kulala akanambia chukua gest nakuja kulipaaa

nlikaaa katafakarii sana hata kama ni upendo kuonana huko mtu aje nilalee nae, nliwazaa sanaaa nikawaza na maisha yaa dar

mwisho wa siku nkamwambia nlilala kwa rafiki angu wa kiumee

alilalamikaa sanaa mpk kuchukiaa

hatukutafutana tenaaaaaaaaaa

na ukawa mwisho wa urafiki na mawasilianoo baina yetuu
Mwanamke yeyote akitaka umtafune papuchi yake halafu ukamyeyusha mnaishia kugeuka maadui.....thats the fact!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom